Namtafuta Stella Bosco

Namtafuta Stella Bosco

Katitima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
631
Reaction score
122
Poleni kwa majukumu wana JF

Kwa muda mrefu nimekuwa nikimtafuta dada yangu katika ukoo bila mafanikio, anaitwa Stella Bosco alimaliza kidato cha nne mwaka 2002, JWTZ 411 kj ruhuwiko secondary baada ya hapo alichaguliwa kuendelea na masomo Lugalo High School-Iriinga mwaka 2003/2005-hkl.

Baaaye sijui alisoma chuo gani, tulipoteza mawasiliano mwaka 2003 na kipindi hicho wengi wetu hatukuwa na simu.

Sasa naomba kama kuna yeyote anahabari zake/mwenyewe anijulishe tafadhali naamin kuwa hapa ni uwanja sahihi

Natanguliza shukurani.
 
closest to bosco is boflo, hebu boflo msaidie huyu
 
ukoo mzima hakuna aliye na mawasiliano nae huyo stella?

kuna kipindi nlipewa namba za simu ambazo kila nikimpigia simpati bila shaka zilikuwa hazitumiki,nikafanya jitahada nikapewa nyingine nazo pia akawa hapatikani na hata hizi za mara ya mwisho ambazo wengi wa niliojaribu kuwaulizia wanaonekana kuwa nazo hapatikani pia.na ndo maana nikaona nije hapa pengine nitaweza kusaidiwa kumpata.
 
Ukoo mzima hakuna aliye na mawasiliano nae huyo Stella?
Hili nalo neno, maana kama ni ndugu wa ukoo angeanzia hata kwa wazazi wake na huyo binti au kaka/dada zake wangeweza kumsaidia mawasiliano ya haraka!
 
kuna kipindi nlipewa namba za simu ambazo kila nikimpigia simpati bila shaka zilikuwa hazitumiki,nikafanya jitahada nikapewa nyingine nazo pia akawa hapatikani na hata hizi za mara ya mwisho ambazo wengi wa niliojaribu kuwaulizia wanaonekana kuwa nazo hapatikani pia.na ndo maana nikaona nije hapa pengine nitaweza kusaidiwa kumpata.

Kuwa mvumilivu utampata tu.....!nakutakia kila la kheri,barikiwa.
 
Back
Top Bottom