Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Poa mkuuPasipo na shaka atakutafuta,kila la heri mkuu!
Kwenye ile list nimekuta jina lako limerudiwa zaidi ya Mara kumi mkuu![emoji23]Usiwaze mkuu jarbu kufatiria ile list ya makonda na dudu baya uta mpata tu..[emoji41]
Kwenye ile list nimekuta jina lako limerudiwa zaidi ya Mara kumi mkuu![emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nka hakikishe
@maxencemelokungekuwa na jukwaa la "search and found" humu jamii forum, asee kungejaa member wengi sana humu, hasa sio kutafutana kienyeji hsa mtu utajuajeunatafutwa jukwaa lipi?