Jmujun JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 965 Reaction score 525 Feb 15, 2015 #1 Napenda niwe karibu kimawasiliano sana na mwanamke, umri 18-25. Sijali elimu kikubwa awe mwenye heshima.
Napenda niwe karibu kimawasiliano sana na mwanamke, umri 18-25. Sijali elimu kikubwa awe mwenye heshima.
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Feb 15, 2015 #2 Siki zote huwa tunamtafuta mtu tunaejua. Huwa tunatafutq mtu usiemjua kwa lengo fulani, ww umesema unamtafuta rafiki mwanamke, mlipotezana wapi???
Siki zote huwa tunamtafuta mtu tunaejua. Huwa tunatafutq mtu usiemjua kwa lengo fulani, ww umesema unamtafuta rafiki mwanamke, mlipotezana wapi???
raamar JF-Expert Member Joined Aug 17, 2014 Posts 252 Reaction score 23 Feb 15, 2015 #3 BIGURUBE said: Siki zote huwa tunamtafuta mtu tunaejua. Huwa tunatafutq mtu usiemjua kwa lengo fulani, ww umesema unamtafuta rafiki mwanamke, mlipotezana wapi??? Click to expand... ah ah ah heshima yako mkuuu
BIGURUBE said: Siki zote huwa tunamtafuta mtu tunaejua. Huwa tunatafutq mtu usiemjua kwa lengo fulani, ww umesema unamtafuta rafiki mwanamke, mlipotezana wapi??? Click to expand... ah ah ah heshima yako mkuuu
King's daughter JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 690 Reaction score 198 Feb 15, 2015 #4 BIGURUBE said: Siki zote huwa tunamtafuta mtu tunaejua. Huwa tunatafutq mtu usiemjua kwa lengo fulani, ww umesema unamtafuta rafiki mwanamke, mlipotezana wapi??? Click to expand... Haha tulipotezana jana valentine day kulikuwa na jam ya watu sana.
BIGURUBE said: Siki zote huwa tunamtafuta mtu tunaejua. Huwa tunatafutq mtu usiemjua kwa lengo fulani, ww umesema unamtafuta rafiki mwanamke, mlipotezana wapi??? Click to expand... Haha tulipotezana jana valentine day kulikuwa na jam ya watu sana.