Chonga wako.........single mother bhn....mnasumbua sana mjini...eti hasiwe mhaya....unaolewa na kabila au mtu.....ukabila wa nn ?- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda.
- Umri 35-48
- Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa atapenda.
- Mwenye kujua na kutimiza majukumu yake yakifamulia.
- Mwenye upendo kwa mke na watoto wote bila ubaguzi.
- Dini RC
- Awe anapenda kujishughurisha /kupambana kwa ushirikiano na mke ili kupata kipato kwa maendeleo ya familia.
- Awe muajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
- Awe tayari kupima HIV na kufuata taratibu zote hadi ndoa.
- Asiwe Mhaya na asiwe mlevi pia
-
Sifa zangu
Umri 35
Watoto 2
Numeajiriwa
Sutumii kilevi
Kwa mwenye sifa hizo karibu PM ukitaja wasifu wako, maelezo yako na nia yako ya dhati ndiyo yatapelekea matokeo chanya kati yetu.
Hahaha komredi ina maana umesahau ile mbinu ya sitaki natakaBaada ya kuingia chemba sijaona response hadi sasa hivi, ingekuwa fursa kwangu angenipa feedback maana mimi nina uhakika ni mtu wa kwanza kumtembelea kwake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan interview ushafanya mkuuuSifa zote ninazo ila Mimi ni msabato,naweza nikawa shortlisted au
Mimi nishazoea lindo bana halina majukumu makubwa, mengine yanipite pembeni kwanzaHahaha komredi ina maana umesahau ile mbinu ya sitaki nataka
Hahaha ndo ujue wanajamvi wanavyotamani uanzishe uzi kama wa pacha wako[emoji40] [emoji125]Hahaaa. Mpaka sasa nishawaona kama wanne hivi wote walidhani ni mimi Kibibi Emmy [emoji85] [emoji85] kumbe ni Emmy mwingine kabisaaaa.
Komredi nimekumbuka tu zile biti mnazopeana kwenye ule uzi wa usiku wa manane kuhusu umiliki wa Mrs Ivuga.Kama sijakusoma hiv embu niweke wazi kamanda
Hahaha sawa komrediMimi nishazoea lindo bana halina majukumu makubwa, mengine yanipite pembeni kwanza
Wewe unataka Mume asie na Ubaguzi, lakini wewe umeshaanza Ubaguzi. Tueleze kwa sababu gani hutaki Muhaya?- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda.
- Umri 35-48
- Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa atapenda.
- Mwenye kujua na kutimiza majukumu yake yakifamulia.
- Mwenye upendo kwa mke na watoto wote bila ubaguzi.
- Dini RC
- Awe anapenda kujishughurisha /kupambana kwa ushirikiano na mke ili kupata kipato kwa maendeleo ya familia.
- Awe muajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
- Awe tayari kupima HIV na kufuata taratibu zote hadi ndoa.
- Asiwe Mhaya na asiwe mlevi pia
-
Sifa zangu
Umri 35
Watoto 2
Numeajiriwa
Sutumii kilevi
Kwa mwenye sifa hizo karibu PM ukitaja wasifu wako, maelezo yako na nia yako ya dhati ndiyo yatapelekea matokeo chanya kati yetu.
Hahaaa. Aiseeee.Hahaha ndo ujue wanajamvi wanavyotamani uanzishe uzi kama wa pacha wako[emoji40] [emoji125]
Alaa kumbe bae wangu inna mbona hilo sina mpinzani kamandaKomredi nimekumbuka tu zile biti mnazopeana kwenye ule uzi wa usiku wa manane kuhusu umiliki wa Mrs Ivuga.
HiiHahaaa. Hapana Ivuga sio Emmy mimi atakuwa Wajina huyu.
Nimecheka eti "Daah"
Kumbe ww ni mpuuzi wa hadhi ya PHD.kwa faida yako na ya hao wanaotaka kumuoa tunampima uwezo wake wa kuhandle vikwazo.we wadhani nani aokote dubwana pasi kuwa na uhakika naloMbona personal attacks??? Aiseee
Pole Mdada puuzia kazana Na Pm tu wapo walio serious
Nakwambia
Humu wapo Wanaume wanaojielewa sana
Usibabaike Na tuvulana twa Veta