Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,318
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii ID ya mleta mada, post yake ya kwanza aliniquote mimi kwa kunisalimia majira ya mchana kwenye uzi wa GENTAMYCINE.
Nilipoiona nikashtuka, nikasema hii ID ya nani, mbona anaonekana ananijua? Nikafungua profile nikakuta ndio post ya kwanza kunisalimu mimi.
Nikarudi kufakari tena, ? Huenda ni Dada yangu ''emmyta" na ameamua kupanua wigo wa uhuru humu jamvini.
Nikakimbilia PM kumuuliza ili nipate uhakika wa nilichokifikiria, lakini sijajibiwa.
Sasa ghafla, baada ya kurejea tena humu nikakutana na hili bandiko. Nikaendelea kujiuliza zaidi.
Mwisho nikasema isiwe tabu kushabiahiana ID kwa kiasi fulani ni jambo la kawaida, na mimi nikamtia moyo na kumtakia mafanikio mema juu ya shida yake.
Ki ukweli na mimi nilipata hangover kama ninyi emmyta na @Nleterewa Nganengo
Mimi ilikuwa kubwa sana maana nimeingia hadi chemba kufuata uhakika
Dada wa watu yupo siriaziiiii jamani msimkereeeKwa nini uliozaa nao hawakukuoa?
Hahaaa. Hapana Ivuga sio Emmy mimi atakuwa Wajina huyu.Nilijua ni wewe. Daah
Mbona personal attacks??? AiseeeKwa nini uliozaa nao hawakukuoa?
Siku ukijua kurekebisha hizo spelling errors zako utapata mume...jangiri ww
Hahaha ila komredi kama wewe ndo ulikua wa kwanza kukusabahi punde tu baada ya kuingia Jf, huoni kwamba huu Ujumbe wa kwanza ni mahsusi kwa ajili yako,[emoji40]Mimi ilikuwa kubwa sana maana nimeingia hadi chemba kufuata uhakika
Usiwasemee wenzakoooMnaona mnazeeka ndio mnajinadi.maji ya shingo sasa.ulikwama wapi siku zote,kwa umri wako kila mwanaume ana mwenza wake.
Hii ID ya mleta mada, post yake ya kwanza aliniquote mimi kwa kunisalimia majira ya mchana kwenye uzi wa GENTAMYCINE.
Nilipoiona nikashtuka, nikasema hii ID ya nani, mbona anaonekana ananijua? Nikafungua profile nikakuta ndio post ya kwanza kunisalimu mimi.
Nikarudi kutafakari tena, Huenda ni Dada yangu ''emmyta" na ameamua kupanua wigo wa uhuru humu jamvini.
Nikakimbilia PM kumuuliza ili nipate uhakika wa nilichokifikiria, lakini sijajibiwa.
Sasa ghafla, baada ya kurejea tena humu nikakutana na hili bandiko. Nikaendelea kujiuliza zaidi.
Mwisho nikasema isiwe tabu kushabihiana ID kwa kiasi fulani ni jambo la kawaida, na mimi nikamtia moyo na kumtakia mafanikio mema juu ya shida yake.
Ki ukweli na mimi nilipata hangover kama ninyi emmyta na @Nleterewa Nganengo
Baada ya kuingia chemba sijaona response hadi sasa hivi, ingekuwa fursa kwangu angenipa feedback maana mimi nina uhakika ni mtu wa kwanza kumtembelea kwakeHahaha ila komredi kama wewe ndo ulikua wa kwanza kukusabahi punde tu baada ya kuingia Jf, huoni kwamba huu Ujumbe wa kwanza ni mahsusi kwa ajili yako,[emoji40]
Fursa hii komredi usiipuuze mkuu (nimejiongeza)[emoji125]
Sasa niko comfortable, pia baada ya kusoma bandiko hili nikang'amua moja kwa moja kuwa sio wewe.Hahahaaa. Dada yako anapambana na Id yake na anapenda kuitunza miaka nenda rudi pasi kuwa na msaidizi wake.
Pole sana mdogo wangu ila nadhani hangover imeanza kuondoka sasa baada ya kuona dada yako anamshauri kuwa makini.
Hahaaa. Mpaka sasa nishawaona kama wanne hivi wote walidhani ni mimi Kibibi Emmy [emoji85] [emoji85] kumbe ni Emmy mwingine kabisaaaa.
Hahahaaa. Kagoma kukudadavulia.Mimi ilikuwa kubwa sana maana nimeingia hadi chemba kufuata uhakika
Kama sijakusoma hiv embu niweke wazi kamandaKomredi naona unatafuta mbinu ili ummiliki Mrs Mtakatifu peke yako[emoji3]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Pia tunatofautiana kwa vitu vingi sana.Sasa niko comfortable, pia baada ya kusoma bandiko hili nikang'amua moja kwa moja kuwa sio wewe.
Hizi frusa ni nyingi humu kuliko idadi yetu....Wanaume changamkieni fursa hiyo.
Nilikuwa nataka nije nikuulize bahati nzuri hili bandiko nikaliona na ndio ikawa ufumbunzi wa nilichokuwa na wasi wasi nachoHahahaaa. Kagoma kukudadavulia.
Si ungeniuliza hata mie dada yako au uliogopa?