Mapenzi ni hatar Sana, huwa najiuliza kwann yalikwepo, but the best way nikuwa single tu, mengine ni stress tupu!!!Naamini mapenzi ni kama maua yanaweza kuota popote, siku zote atafutae huwa hajui kama atapata lini na wapi. Wapenzi wanaweza kutana popote, yawezekana ikawa msibani, safarini kwenye harusi sokoni au hata kwenye mtandao kama hapa.
Hivyo basi na mimi namtafuta mwanamke mmoja tu mwenye mapenzi ya kweli ili tufikie lengo la kuwa mke na mume .
Sifa za ninaemtaka.... Mwanamke wa aina yoyote asiezidi miaka 28 asiwe bonge rangi yoyote bila kujali dini, elimu wala kabila Ila uwe mzuri (Nitafurahi zaidi nikimpata nurse, Polisi au Mwalimu). Japo sio kigezo sana yeyote anakaribishwa tuzungumze.
Lakini pia itapendeza akiwa mkazi wa karibu ili iwe rahisi kuonana maana nilishawahi kutafutaga hapa zamani sikupata na nikaishia kiliwa nauli yangu tu na mtu wa mbeya na sikumwona hata.
Umri wangu ni miaka 30 mwajiriwa napata kipato changu halali na mkazi wa Dar es Salaam Nina mtoto mmoja.
Mwanye nia kama yangu karibu PM tuyajenge mengine tutaongea wenyewe... Naomba kuwasilisha hoja.
of course mapenzi ni hatari ukikutana na mtu hatari lakini pia ni salama endapo wote mtaamua kuchunga usalama wenu kukaa singo bado sio solution!.Mapenzi ni hatar Sana, huwa najiuliza kwann yalikwepo, but the best way nikuwa single tu, mengine ni stress tupu!!!
Shida ni kwamba ww upo kimapenzi mwenzio yupo kibiashara Aisee utajuta kwann Ulipendaof course mapenzi ni hatari ukikutana na mtu hatari lakini pia ni salama endapo wote mtaamua kuchunga usalama wenu kukaa singo bado sio solution!.
ukipata waambie wawe wawili na mie nipate nyonga mkalia in nabandamaNaamini mapenzi ni kama maua yanaweza kuota popote, siku zote atafutae huwa hajui kama atapata lini na wapi. Wapenzi wanaweza kutana popote, yawezekana ikawa msibani, safarini kwenye harusi sokoni au hata kwenye mtandao kama hapa.
Hivyo basi na mimi namtafuta mwanamke mmoja tu mwenye mapenzi ya kweli ili tufikie lengo la kuwa mke na mume .
Sifa za ninaemtaka.... Mwanamke wa aina yoyote asiezidi miaka 28 asiwe bonge rangi yoyote bila kujali dini, elimu wala kabila Ila uwe mzuri (Nitafurahi zaidi nikimpata nurse, Polisi au Mwalimu). Japo sio kigezo sana yeyote anakaribishwa tuzungumze.
Lakini pia itapendeza akiwa mkazi wa karibu ili iwe rahisi kuonana maana nilishawahi kutafutaga hapa zamani sikupata na nikaishia kiliwa nauli yangu tu na mtu wa mbeya na sikumwona hata.
Umri wangu ni miaka 30 mwajiriwa napata kipato changu halali na mkazi wa Dar es Salaam Nina mtoto mmoja.
Mwanye nia kama yangu karibu PM tuyajenge mengine tutaongea wenyewe... Naomba kuwasilisha hoja.
Hapo kwenye mabano naona ndo imekua vigezo vingi vya wanamme mnaotafuta wenzi ...hua najiuliza mnatafuta wenzi au backups?...ila usjali mkuu utapata tuu ngoja waje
Mungu akutangulie upate ubavu wako unaostahili[emoji120]Kwenye mabano pasikutishe ndo maana nikasema sio kigezo sana hata kama akiwa nje ya vigezo hivyo hakuna neno
Hivi ulisha kuwa double? Mis powersMama mwenye Mtoto yuko wapi?!