Namtafuta huyu dogo

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,186
27,278
Hata kama hajui kuandika mistari ntamuandikia Mimi. Tutapiga hela hatari.

Huyu ndio rapper sasa sio watoto wa mama kama kina Omollo

( pichani ni baada ya mama ake kuja eneo la tukio na kumwambia " MWANANGU kama Mimi ndo mama ako nilie kuzaa basi nakuomba kubali yaishe wakukamate nitakuja kukuwekea dhamana.. Hapo dogo akakumbuka maneno ya kichaa wake Tupac kwenye wimbo Dear Mama akaona ngoja awakaushie tu waenda.)


Kama hao wajeda wana akili huyu dogo wasi mprosecute. Wamuingize jeshini. Ana kitu ndani yake
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu hata akisema anatoa single unaweza kupata wa kumsikiliza kwa sababu at least kaonyesha ana upekee ndani yake.
 

Attachments

  • Screenshot_20230826-104903.png
    104.9 KB · Views: 8

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…