Habarini wana MMU.
Namtafuta kaka mmoja aitwae Arafati Tengeneza, ambae alikuwa anasoma na amemaliza Form 4 Chidya Boys Sec. School kwenye miaka ya 2003 au 2004 kule Masasi Mtwara.
Kama kuna mwana Jf yeyote anayemfahamu huyu Kijana, naomba unijulishe.
Au kama Arafati uko humu nitafute.
Usiniogope.