Namshukuru Mungu

Namshukuru Mungu

Ximena

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
641
Reaction score
353
Habari wanajamii

Hatimaye Mungu amenijalia nimepata kazi katika moja ya taasisi za serikali. Acha nikafanye bidii kazini mtaani pagumu aisee.
 
Hongera sana.... Usisahau kutoa zaka na sadaka pamoja na sadaka ya shukrani...
 
Hongera ndugu Mungu wetu hajawahi kushindwa lolote
 
Hongera mdau kila la kheri kazini, ila usisahau joto la wahanga wa ajira!! pay respect n consider them wakitaka ushauri maana umepata uzoefu na msoto wake unaujua. One love Home Boy
Whaaat???.........OOoh!! that's my nick name SAADMAD:doh:
 
Back
Top Bottom