Namshukuru mungu

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
Jamani nilifanya mtihani necta wa ualimu ngazi ya stashahada may 2011 nimeufaulu vizuri! sifa na utukufu vina yeye milele na milele AMINA
 
Hongera sana Mr. Creative. All the best in your plans!
Stay blessed.
 
hongera sana mpendwa kwa kufaulu mtihani wako na kwa kukumbuka kumrudishia Mungu sifa, heshima na shukrani

Mungu akutangulie katika maisha yako na mipango yako.

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God
 
Stashahada ndiyo nini? Diploma, cheti, darasa la saba, form 4? Ni nini hasa?
 
Hongera sana mkuu,na ni jambo jema kumshukuru Mungu.
 
Stashahada ndiyo nini? Diploma, cheti, darasa la saba, form 4? Ni nini hasa?
<br />
<br />
kumbe sikukosea kukwambia viingereza vyako vigumu ni vya english course. sometimes uwe na busara hata km una digrii arobaini km motto wa jf unavyofahamika,great thinkers. kub....ako! mods piga ban hili jitu!
 
Hongera mkuu kazi nzuri,mungu azidi kukupa afya njema utumikie taifa
 
Stashahada=diploma,hongera mkuu,tunapaswa kumshukuru MUNGU kwa kila jambo.
 
Hongera sana mkuu uwe mwaminifu kwa wanafunzi! God blec u!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…