Namrudisha vipi mpenzi wangu?

Namrudisha vipi mpenzi wangu?

Joined
Feb 8, 2017
Posts
79
Reaction score
27
Wakuuu huyu mtoto namkubali sana. Najaribu kumrudisha tuishi kama zamani.

Miezi nane sasa imetimia hakuna hata dalili kama atarudi. Nimebembeleza mpaka nimechoka.

Nifanye nini jamani?
 
Muahidi hela atarudi
Wanawake kwa hela bwana mmmmmh
 
Chukua kamba, funga kwenye mtii, ikazee vizur, anza kubembea utamsahau tuu,
 
Ajira kwanza fanya juu chini uajiriwe au ujiajiri uwe na mafumba,,ukizipata huyo mtoto anakufuata mwenyewe
 
Pambana tu na hali yako ndugu yangu hakuna namna....
 
Mpe mahela mkuu tena mengi mengi uone kama hajarudi
 
Kwann unajaribu kuFit in ?? Wakat kwa uyo demu umezaliwa kua nje yake??.

Miez nane,hakutafut bado unahangaika tuu??? .

Leave her, focus ktk maisha yako, au huna uhakika km unaweza mpata dem mwingine???so its like ulimpata kwa bahati,??? .

Wanawake walivyojaa hpa Dunian bado tu unahaha nakadem kamoja usikute Hakana hata kalio, sura haieleweki haaaa........ Nyie ndo mnafanya wanaume kuonekana goegoe.

Mimi nakuambia, Sijawah nasitokaa lia lia kisa demu, nikikuambia mara ya kwanza huelewi ,huyo natema naww ,kwakua najua huko nje kun mahali fulan mwanamke mzuuuuuuuuuuri ananipenda na ananisubiri.

Kua Mwanaume, miezi minane maana yake unaishi masha ya ajabu nmawazo yasokua namaana uku mwenzako akiliwa huko ovyovyo nausikute mpaka kufikia hapo keshaliwa mpaka Tigo!!!

Alafu bado unajifunga ktk kifungo kisichokufa!!??? Hahhhhhahaua nitakua wa mwisho kuukubali huo ujinga.

mawazo mengi husababisha uchizi , mwili kudhoofu ,Mahusiano mabaya nawatu ,kujihisi unayetengwa na usiyependwa au kifo.....acha kua chizi na usife kisa K!!!

Ungejua DUNIA ILIVYOTAMUUUUU, Wanawake waliojaaa wakila aina... Wala usingekaa kuruhusu SIWEMA akupe mateso ya Moyo ili hali HUJAZUNGUKA TANZANIA NZIMA,UNGUJA NAPEMBA NAKUONA WAREMBO WALOJIPAMBA NAKUPAMBIKA !!wanakukonyeza wenyewe
 
wale waganga wa pesa za majini, mvuto kazini, kumrudisha mpenzi, nguvu za kiume. hawapo kitaa kwenu ?
 
Folowed
 
Back
Top Bottom