idriss JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 720 Reaction score 366 Oct 2, 2014 #21 vanessa lynn said: Sita janga la taifa Click to expand... Hata watu wapendao kulalama,kutusi na kukaashif viongozi na watawala ni janga kubwa mno kwa taifa..mfanoe ni weye pia.
vanessa lynn said: Sita janga la taifa Click to expand... Hata watu wapendao kulalama,kutusi na kukaashif viongozi na watawala ni janga kubwa mno kwa taifa..mfanoe ni weye pia.
idriss JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 720 Reaction score 366 Oct 2, 2014 #22 MENGELENI KWETU said: Sitta ni HATARI. Kwa huu ubazazi alioufanya leo, historia inakwenda kumhukumu. Click to expand... Hafikii ubazazi wa kulalama pasina hatua yoyote stahiki ya msingi unaoufanza....
MENGELENI KWETU said: Sitta ni HATARI. Kwa huu ubazazi alioufanya leo, historia inakwenda kumhukumu. Click to expand... Hafikii ubazazi wa kulalama pasina hatua yoyote stahiki ya msingi unaoufanza....
arola JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 550 Reaction score 187 Oct 2, 2014 #23 SITTA ndio kiongozi pekee mwenye kufanya maamuzi magumu niliyewahi kumshudia kwa umri wote nilioishi mpaka sasa. Hongera sana SHUJAA 6 acha wanafiki wachonge ngenga ila umewachoma kotekote.
SITTA ndio kiongozi pekee mwenye kufanya maamuzi magumu niliyewahi kumshudia kwa umri wote nilioishi mpaka sasa. Hongera sana SHUJAA 6 acha wanafiki wachonge ngenga ila umewachoma kotekote.
jawoomtambo Member Joined Aug 13, 2014 Posts 24 Reaction score 4 Oct 2, 2014 #24 arola said: SITTA ndio kiongozi pekee mwenye kufanya maamuzi magumu niliyewahi kumshudia kwa umri wote nilioishi mpaka sasa. Hongera sana SHUJAA 6 acha wanafiki wachonge ngenga ila umewachoma kotekote. Click to expand... Kumbe na ww ni wale wale? ---- u....
arola said: SITTA ndio kiongozi pekee mwenye kufanya maamuzi magumu niliyewahi kumshudia kwa umri wote nilioishi mpaka sasa. Hongera sana SHUJAA 6 acha wanafiki wachonge ngenga ila umewachoma kotekote. Click to expand... Kumbe na ww ni wale wale? ---- u....
thebigbobo Senior Member Joined Sep 25, 2014 Posts 168 Reaction score 17 Oct 2, 2014 #25 Miandiko tofauti sahihi moja