kwa lipi unampongeza? kuchakachua katiba ya wananchi? kwa kukamilisha ilani ya chama cha mapinduzi
Wanajf napenda nichukue fursa hii kumpongeza aliyekuwa mwenyekiti wa BMK Samwel Sitta kwa kupigania posho na kuhalalisha ufisadi wa pesa za walipa kodi kupitia Katiba ya CCM iliyoandaliwa na fisadi Chenge.
Sitta ameonesha jinsi alivyo FISADI kuliko hata waliowahi kutajwa hapo nyuma (Lowasa, Rostam, Chenge na wengineo) amepigania hizo posho kifisadi mpaka amehakikisha amezipata.
Hongera sana Samwel Sitta, hatutakusahau kamwe hata utapokufa, japo naamini huna siku nyingi hapa duniani na zilizobaki zitakuwa za tabu na mahangaiko sana kwako.

Natangaza rasmi kwamba sitta ni adui namba 1 wa watanzania wazalendo.
Hafai kuigwa hata kidogo.