Ok. Ukifika Dar ukishuka (kama unatumia basi lakini sitarajii kama unamfuata Wema uende kwa basi unatakiwa uende na mkoko kumzidi yeye) Ubungo nenda mpaka Mwenge then fuata barabara ya Morocco. Ukifika Makumbusho turn kulia sogea umbali kama mita 400 au 300 hivi. Uliza kwa Wema Sepetu utapelekwa.