Erickson0708
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 207
- 34
Kwani ulimuonjaga ?.
Kama bado tumia fursa tambaa mbele
Ah kama vp liudishe tu.kwani ww iyo miaka 5 ulikuwa huna demu.
ha ha hahah tafuta pesa
Ni msichana nilie mpenda kwa dhati miaka 5 iliopita lakin alipo enda chuo alibadilika akapata mabwana wengine tukaachana leo hii amemaliza chuo anadai kuwa ananipenda mm duhhh😔😔
Pesa ya nn sasa
miss chagga bado nakupenda ati,ha ha hahah tafuta pesa
Mkuu inawezekana kweli huyo dada alidanganyika na kuwa na watu wengine,ila kama amejirudi na anakupenda kwa dhati na wewe unampenda still unaweza kuwa naye na kufanya yenu...no one is clean at 100%
Ni msichana nilie mpenda kwa dhati miaka 5 iliopita lakin alipo enda chuo alibadilika akapata mabwana wengine tukaachana leo hii amemaliza chuo anadai kuwa ananipenda mm duhhh
ya kummpa makomfidence
Dahhh nimekuelewa sana shida ni huyu nilie nae sasa duhh nmtokeje
Tanganyikana hata mimi nakupenda atiiimiss chagga bado nakupenda ati,