Nampenda sana ila nahisi ananitesa.

jolly, Jua kilema cha mwenzako na ujifunze jinsi ya kuishi nae akiwa na kilema hicho, akijua unajua kilema chake na umejua namna ya kuishi nacho anaweza tafuta jinsi ya kukirekebisha, ila ukijifanya ni mwalimu mzuri tegemea lolote , kufanikiwa kumbadilrisha au kuumizwa zaidi
 
Last edited by a moderator:
Mmmmm iyo Harus si kesho kutwa tuu. Sizan kama umewahi ili kupata ushaur wa kuufata.labda ushaur utakufuata.
 
Funguka banaaaa!!!! Anakutesa kwa yepi ayafanyayo!?

 

Kuna harufu ya kutoaminiana ..halafu haya mambo ya kuishi mbalimbali halafu mnakutana kanisani na kwenda kuanza maisha...sio mazuri.. kama mmeshaanza kutoaminiana sasa hivi ..mtafika kweli? au mtafika mkiwa mmechoka ile mbaya viraka mwili mzima...

Fikiri kabla ya kuweka nadhiri ya milele.. ama sio piga ndoa ya serikalini ambayo ni rahisi kuchana karatasi..
 
Kina dada mnasumbua jamaa kaja nandoa freshi unaanza kulalama

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Bahati mbaya hujaelezea ni mambo gani anayoyafanya ww yanakutesa cha msingi kaa nawe muulize ni kwann anafanya hvy tafuta mazingira ambayo yatamfanya awe free na atafunguka then from there u draw a line on how smoothly u can move forward!!coz unaweza jamaa anakutesa ukaenda kwa mwingine huko ndo balaa zaidi!!
 
Bahati mbaya hujaelezea ni mambo gani anayoyafanya ww yanakutesa cha msingi kaa nawe muulize ni kwann anafanya hvy tafuta mazingira ambayo yatamfanya awe free na atafunguka then from there u can draw a line on how smoothly u can move forward!!coz unaweza jamaa anakutesa ukaenda kwa mwingine huko ndo balaa zaidi!!
 
Sweery, ndoa haina majaribio, funguka tujue anachofanya tujue tukupe ushauri gani....

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…