Yeah nakubali Mkuu!! we unaogopa kutajwaaaaa....hujiamini Mkuuuuu...
Ili iweje? Yani we ndio utufundishe start up ya kukoleza uhusiano? Mi naona ni ujinga tu marafiki wa kwenye fon book hata wengine sijawatafuta mwaka, hawa wanatosha. Sired yako kimeo
Natumai wote mpo poa!!
Naomba kila mtu ataje jina la mtu anaempenda na kumkubali sana humu jukwaani na ukishatajwa basi jua wewe ndie shabiki na chaguo la aliekutaja nakuanzia hapo sio mbaya mkachati in private kufahamiana zaidi ikiwezekana kupeana mawasiliano kwa alietayari.
Vigezo na mashart kuzingatiwa:
Hairuhusiwi kutaja mara mbili jina ambalo limeshatajwa.
Naomba niwe wa kwanza kufunguka na kuwa muwazi
Pretta!! kama upo nipe big like mammy!!!
Hapo wengine mnaweza kuendelea kunguka