Basi kama unampenda mumeo endelea kuvumilia hata njia haijanyooka moja kwa moja nayo pia ina kona, milima, na mabonde endelea kumpenda iposiku atakuja kujua samani na upendo wako kwake, na pia muombe tu mungu atakusaidia katika hilo janga unalopitia ni hayo tu!!
Mume Anitaki Tena Baada Yakupata Hawara Nifanyeje, Tumeoana miaka 4 Sasa,tuna Mtoto Mmoja Nanina Mimba Tena Hanijali, Hanipi Haki Yandoa Miez Miwili Sasa, Ananidharirisha Wamarafikize, Nakunisemea Uongo Kwawazaz Wake Ili Apate Sababu Japo Wakwe Wananijua Vizuri Kitabia, Nawanampinga Maana Wanamjua Tabia Yake
acha tu uzeeke ukaliwe na wadudu kuliko kuteseka huku utamu wangu wanatumia watesajiutazeeka na utamu wako.
aisee ni zaidi ya kamari aiseeendoa ni kama kamari
upate au ukose
hakuna droo
Mume Anitaki Tena Baada Yakupata Hawara Nifanyeje, Tumeoana miaka 4 Sasa,tuna Mtoto Mmoja Nanina Mimba Tena Hanijali, Hanipi Haki Yandoa Miez Miwili Sasa, Ananidharirisha Wamarafikize, Nakunisemea Uongo Kwawazaz Wake Ili Apate Sababu Japo Wakwe Wananijua Vizuri Kitabia, Nawanampinga Maana Wanamjua Tabia Yake
usiogope ndoa.kwahiyo utaishi peke yako hadi lini?
vumilia dada hayo ni majaribu na muombe sana mungu iko siku mumeo atatulia