Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,127 Reaction score 11,938 Feb 2, 2018 #21 LELELU said: mimi bachelor mkuu vipi UKnataka unipasie mwari ? Click to expand... Mkuu wana mwari wamejaa humu jukwaani, kama ni mzito kutupia nyavu, hakika humu panakupendeza!
LELELU said: mimi bachelor mkuu vipi UKnataka unipasie mwari ? Click to expand... Mkuu wana mwari wamejaa humu jukwaani, kama ni mzito kutupia nyavu, hakika humu panakupendeza!
L LELELU Senior Member Joined Jan 29, 2018 Posts 167 Reaction score 259 Feb 2, 2018 Thread starter #22 Avatar mok said: Mkuu wana mwari wamejaa humu jukwaani, kama ni mzito kutupia nyavu, hakika humu panakupendeza! Click to expand... Ahahahha amna mkuu tunacheki mazingira
Avatar mok said: Mkuu wana mwari wamejaa humu jukwaani, kama ni mzito kutupia nyavu, hakika humu panakupendeza! Click to expand... Ahahahha amna mkuu tunacheki mazingira
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,127 Reaction score 11,938 Feb 2, 2018 #23 LELELU said: Ahahahha amna mkuu tunacheki mazingira Click to expand... Haha mkuu wa jukwaani mbona unawakimbia!!?
LELELU said: Ahahahha amna mkuu tunacheki mazingira Click to expand... Haha mkuu wa jukwaani mbona unawakimbia!!?
L LELELU Senior Member Joined Jan 29, 2018 Posts 167 Reaction score 259 Feb 3, 2018 Thread starter #24 Avatar mok said: Haha mkuu wa jukwaani mbona unawakimbia!!? Click to expand... hahh jamii forum inanishinda kitu kimoja mkuu tatizo hzo nem zao sasa najua wote wanaume mkuu na sina utaalamu wa kugundua yupi mwari yupo mzee na yupi saizi yangu .. naweza chagua bibi nikaja juta
Avatar mok said: Haha mkuu wa jukwaani mbona unawakimbia!!? Click to expand... hahh jamii forum inanishinda kitu kimoja mkuu tatizo hzo nem zao sasa najua wote wanaume mkuu na sina utaalamu wa kugundua yupi mwari yupo mzee na yupi saizi yangu .. naweza chagua bibi nikaja juta
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,127 Reaction score 11,938 Feb 3, 2018 #25 LELELU said: hahh jamii forum inanishinda kitu kimoja mkuu tatizo hzo nem zao sasa najua wote wanaume mkuu na sina utaalamu wa kugundua yupi mwari yupo mzee na yupi saizi yangu .. naweza chagua bibi nikaja juta Click to expand... Hahahaahaha wapo bwana, ukiwa makini unawajua tuu. Ila kweli unaweza kulilamba galasa haha achana nao tuu. Hiki ni kichaka
LELELU said: hahh jamii forum inanishinda kitu kimoja mkuu tatizo hzo nem zao sasa najua wote wanaume mkuu na sina utaalamu wa kugundua yupi mwari yupo mzee na yupi saizi yangu .. naweza chagua bibi nikaja juta Click to expand... Hahahaahaha wapo bwana, ukiwa makini unawajua tuu. Ila kweli unaweza kulilamba galasa haha achana nao tuu. Hiki ni kichaka
L LELELU Senior Member Joined Jan 29, 2018 Posts 167 Reaction score 259 Feb 3, 2018 Thread starter #26 Avatar mok said: Hahahaahaha wapo bwana, ukiwa makini unawajua tuu. Ila kweli unaweza kulilamba galasa haha achana nao tuu. Hiki ni kichaka Click to expand... hhhhh
Avatar mok said: Hahahaahaha wapo bwana, ukiwa makini unawajua tuu. Ila kweli unaweza kulilamba galasa haha achana nao tuu. Hiki ni kichaka Click to expand... hhhhh