Nampenda miss chagga

Kwa hiyo watu huwa tunaumiza vichwa kutoa ushauri kumbe mwenzetu unarefresh daah
 

Haya Miss Chagga zingatia hayo kwenye RED toka kwa Umukagame!
 
cc: Mr. rocky
 
Last edited by a moderator:
Akija mwambie namtaka. Usisahau kunisifia sifia kidogo ili nimpate kiulaini. Nampenda sna umukagame wangu. mia

"No matter how ​beautiful she looks, someone somewhere is tired of her shit" badilisha hiyo signature yako ndiyo utampata la sivyo watakimbia
 
heeeeeeeeeee wifi umeshamgeuka tena kaka yangu

cc Mr Rocky
mbona we wifi mbea kaka yako mbahili sana mi ndio maana simtaki bwana... i love u nyingi wallet yake hagusi... tokea nimwambie nampenda pia kaacha kabisa kunipa hatahela ya nauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…