Basi nakushahuri kuspend more time na huyo anae kupenda, jaribu kuona vitu vizuri toka kwake, huenda utampenda pia.huyo anayenipenda nimemfahamu huu mwaka wa pili sasa lakini feelings bado zipo kwingine. umri umeenda nahitaji kuolewa soon..
Utapenda hadi lini sasa? maana wanawake wazuri wanazidi kuongezeka tu. Halafu hapa tunaongelea maswala ya ndoa... sio ya mapenzi ya 'urafiki'.Aisay wanawake mnajua kupenda, yani ukisha penda....ndo huyo huyo poleni sana.
Mimi hata nikipenda vipi, atokeze mwinmgine mzuri na yeye napenda....Yani moyo wangu hauna ubaguzi, wanawake wote wazuri nawapenda :biggrin:
Kwani huyu kisha olewa au mimi nikipofu na wewe ndo mwenye macho hahaha.Utapenda hadi lini sasa? maana wanawake wazuri wanazidi kuongezeka tu. Halafu hapa tunaongelea maswala ya ndoa... sio ya mapenzi ya 'urafiki'.
Mi sijasema kama kaolewa. Nimesema anataka mapenzi ya kuolewa, sio ya urafiki wa kawaida. So kupenda tunao ongelea hapa ni kule kupenda kutakao pelekana kuoana.Kwani huyu kisha olewa au mimi nikipofu na wewe ndo mwenye macho hahaha.
Haya hata kama wewe una macho umesoma vizuri kuliko mimi, kwani nani kakuambia mimi taishia kuwa na mke mmoja tu :biggrin:
Mmmh, kuna mambo jamani.
Zingine ni fantasies tu
maisha yanasonga, kaa na huyo huyo anayekupenda.
Ndio nilitaka nikushahuri hivo ila ukasema muda unaenda... Kama utaweza subiri tu. Usiweke lengo kuolewa, weka lengo kupenda na kupendwa. Ndoa ni consequence tu.mmh sasa jamani nitakaaje na mtu anayenipenda halafu mimi simpendi??? labda nisubiri tu atatokea atakayenipenda na mie nimpende
mmh sasa jamani nitakaaje na mtu anayenipenda halafu mimi simpendi??? labda nisubiri tu atatokea atakayenipenda na mie nimpende
Si ndio nikampa pole huyo mtoa madai hamjaona, mana wengine wakipenda wamependa....wanapenda pale pale. na huo ni kama ugonjwa vile wakichaa.Mi sijasema kama kaolewa. Nimesema anataka mapenzi ya kuolewa, sio ya urafiki wa kawaida. So kupenda tunao ongelea hapa ni kule kupenda kutakao pelekana kuoana.
So My point was: kama kila mwanamke mzuri utampenda, utapenda (na kuoa) wangapi? Hata kama utaoa zaidi ya mmoja, there is only a certain amount one can accomodate (IMO)
Watu wa ajabu jamani! Mtu anasema hana feeling wakati wanapiga game mara kibaao! Hebu mzoee mwenzio na ujifunze kumpenda!
Usipende hivyo dada yangu ni ver risk, halafu kuolewa sio ishu kiviile kama udhaniavyo ,so u jas b lito patient kama ipo,ipo tuu.