tatizo msimamo wake kutoa hiyo mimba ndio inanipa hofu ikitokea sijaoa familia yake na yeye watanichukuliaje mkuu ka si kurogwa nini kinafuataUmetaja kweli nyingi na mojawapo ni ukweli huwezi kuwa nae, ukweli unampenda, ukweli kapewa mimba, ukweli anakupenda. Wewe ushasema huwezi kuwa naye maana ana mimba isiyo yako sasa sisi tufanye nini tena. Sikiliza moyo wako unataka nini, hakikisha una msimamo na unachokitaka hata ukiuliza au kuomba msaada watu wakupe experience au mawazo yao.
Nimependa hapo ulipomuambia eti umetaja 'kweli nyingi'..!!Umetaja kweli nyingi na mojawapo ni ukweli huwezi kuwa nae, ukweli unampenda, ukweli kapewa mimba, ukweli anakupenda. Wewe ushasema huwezi kuwa naye maana ana mimba isiyo yako sasa sisi tufanye nini tena. Sikiliza moyo wako unataka nini, hakikisha una msimamo na unachokitaka hata ukiuliza au kuomba msaada watu wakupe experience au mawazo yao.
shukrani kuu ntazingatia ushauriNimependa hapo ulipomuambia eti umetaja 'kweli nyingi'..!!
Hivi kumbe 'baharia wa buza' wako serious kwa kiwango hicho? Kapepo ulikuwa wapi eti mpaka mrembo wako anawahiwa kizembe namna hiyo??
Enwei, wanaume wa sasa sijui mnakwama wapi, maamuzi ni kitu mmeshindwa kufanya kabisa na ndiyo maana wanawake washajua udhaifu wenu wanacheza mno na akili 'zenyu'..!
Wewe ni mwanaume hupaswi kuongozwa na hisia kama sisi, unapaswa utumie zaidi akili yako kufanya maamuzi, Ni kweli unampenda, ilikuwaje aingie kwenye mahusiano na mwanaume mwingine wakati tayari ulikuwa naye?
'Once a cheater, always a cheater', mwisho wa siku mapenzi hayashauriki, fuata tu moyo wako Mr. Kapepo.!
Jamani mkuu umeandika kama unatufokea au unatusuta, hata nukta hakuna, yaani nimesoma Kama cherehani inashona dera, okay muoe tu hivyo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa hii summary.Umetaja kweli nyingi na mojawapo ni ukweli huwezi kuwa nae, ukweli unampenda, ukweli kapewa mimba, ukweli anakupenda. Wewe ushasema huwezi kuwa naye maana ana mimba isiyo yako sasa sisi tufanye nini tena. Sikiliza moyo wako unataka nini, hakikisha una msimamo na unachokitaka hata ukiuliza au kuomba msaada watu wakupe experience au mawazo yao.
Mkuu umeongea point moja nzito sana.Yaani hadi ilo unauliza yaani baharia ashakuchapia bado unashindwa ufanyaje mkuu tayari ushatengenezwa tayari usharogwa [emoji16]
Inauma ila we alikufanya "second option" ndo maana aka Ku cheat akupendi kivile ye anaangalia kwenye unafuu na ameku cheat na hana option nyengine mshikaj kamkataa kaamua arud kwako boya mwenye huruma
Unatia aibu hili si lakuomba ushauri kabisa
HIVI INAKUAJE SIKU HIZI WANAUME TUNASHINDWA KUFANYA MAAMUZI KWENYE MAMBO MADOGO KAMA HAYA HIVI SHIDA NI NINI WAKUU ?
we familia yake na wewe inakuhusu nini ? Piga chini hoe huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una maamuzi gani. Hapa naona unataka kudate nae lakini unaogopa baadae unaweza usimuoe. Na pia unaogopa usirogwe endapo ukifanya kumtenda, nahisi una uwezekano mkubwa wa kumuacha baadae kulingana na maelezo yako.tatizo msimamo wake kutoa hiyo mimba ndio inanipa hofu ikitokea sijaoa familia yake na yeye watanichukuliaje mkuu ka si kurogwa nini kinafuata
Mkuu umeongea point moja nzito sana.
Mleta mada alikuwa second option na yenye uhakika kiasi kwamba binti amejua kimbilio liko wapi.
Mtoa mada anampenda huyo binti ndo maana ametaja kweli nyingi, angekuwa hampendi angekuja kutupa mkasa tu na kutuambia alichofanya lakini yeye kaja kuomba ushauri.