naona hadi ZZK kastukia meli inayozama kwa kasi ya TITANICBinafsi nakupongeza sana kwa kutengeneza wapinzani milioni 60
Hii inaonesha ni jinsi unavyokaribia kusambaratika kabisa
Wenzako walikua na akili, walihakikisha wanakua na wapinzani wa chama cha siasa tu, lakini wewe kwa ulivyokubuhu na usivyosikia vya junguni wala pangoni sahizi unao watu milioni 60 wanaokupinga
Huna raha mwenyewe huna amani, hadi nuru imetoweka, Unaishi kwa hofu kama Digidigi ukimuogopa kila mtu, wanaokuzunguka wanashangaa ulivyobadilika hadi unachokula na unachokunywa.
Ulidhani ulivyozihukumu roho zaidi ya elfu 13 utabaki salama na utakua na amani?Pole yako umeingia cha kike safari hii unavyopenda safari sijui utasafiri uwende wapi maana kila pahala mlango umefungwa labda uzunguke hapahapa kama "Ndera"
Kishakuramba huna nuru, huna jipya, umebaki kutoa milio tu, bomu uloliandaa linakaribia kukulipukia mwenyewe utakua mgeni wa nani mwanetu?
Kwasasa hata machaguo ya kubadilisha hali huna,nani atayasadiki machaguo yako?La hasha unaishi kama Digidigi kuliko hata hao wanaokukosoa ulowasukumia magerezani na kwenye mahabusu haya si ulipata karibia 100 wewe mbona huna raha?Mbona unaishi kama digidigi?.
Wala msihofu wanetu huyu jambo lake limeisha, amekwisha hana nyimbo, Utawala wa mfa maji huu, kuna mwingine katokezea humo anajidai kuwakaanga mbuyu cnn, dw, bbc, na aljazeera kwamba vyombo hivo vyote vilikosea?Kwamba vyote vinawasingizia?Kila mtu akunyooshee kidole tu?
Mwacheni azame mwenyewe musikubali kile kilemba cha ukoka kiitwacho "Maridhiano" mtakua mmesaidia kuchelewa kuzama majini mfamaji huyu.
Pole sana wakwetu, Ukwezi mazoea humuangusha mkwezi, utavuna ulichopanda kipenga cha kuhesabu saa na dakika za anguko lako (Countdowns) kimeanza rasmi
[emoji1317][emoji1317]تمام
View attachment 3506322
Hadi huyu dalali muhuni ameshtuka baada ya kupigwa na babalevo.naona hadi ZZK kastukia meli inayozama kwa kasi ya TITANIC
Unampa nchi mwanamke wa kutoka zanzibar ,hapa kuna la kujifunza kuhusu hawa viumbeKuna watu hawana aibu wala kuheshimu maoni wa watu. Ingekuwa ni mimi ningeshajiuzuru na kukabidhi kiti.
Pili, huyu mtu kawaangusha Wanawake wenzake. Alipaswa aonyeshe uwezo na utu ili awafanye Wanawake Waziri kuaminiwa kwenye nafasi kama hiyo. Ila sasa amefanya kinyume chake.
Halafu eti tunaambiwa kuna deep state, mara sijui vetting kali. Deep state gani isiyoweza kugundua kuwa hakufaa kwa hicho kiti?Unampa nchi mwanamke wa kutoka zanzibar ,hapa kuna la kujifunza kuhusu hawa viumbe
Huyu elimubyake kiduchu mno ndio shida ya yote haya,tamaa piaKuna watu hawana aibu wala kuheshimu maoni wa watu. Ingekuwa ni mimi ningeshajiuzuru na kukabidhi kiti.
Pili, huyu mtu kawaangusha Wanawake wenzake. Alipaswa aonyeshe uwezo na utu ili awafanye Wanawake Waziri kuaminiwa kwenye nafasi kama hiyo. Ila sasa amefanya kinyume chake.
Kabisa yaani tunaongozwa na jitu la hovyoKuna watu hawana aibu wala kuheshimu maoni wa watu. Ingekuwa ni mimi ningeshajiuzuru na kukabidhi kiti.
Pili, huyu mtu kawaangusha Wanawake wenzake. Alipaswa aonyeshe uwezo na utu ili awafanye Wanawake Waziri kuaminiwa kwenye nafasi kama hiyo. Ila sasa amefanya kinyume chake.
Kabisa. Huku chini watumishi wa chini wanafanyiwa vetting kali, huko juu sasa uozo mtupu.Hii nchi inasavaivu kwa uwezo wa Mungu tu
Kamuulize Mabeyo hili swali.... Na usisahau alipongezwa sana kwa uamuzi wa kishujaa alioufanyaHalafu eti tunaambiwa kuna deep state, mara sijui vetting kali. Deep state gani isiyoweza kugundua kuwa hakufaa kwa hicho kiti?