Namna ya kuweka Video

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,887
Wapenzi naomba mwenye muda wa kunielekeza namna ya kuweka video kutoka YouTube anielekeze pleez......asanteni sana
 
Wapenzi naomba mwenye muda wa kunielekeza namna ya kuweka video kutoka YouTube anielekeze pleez......asanteni sana
Mpendwa


  • Kuna nyenzo ya kukusaidia kuweka video hapa. Fuata Icon zilizo kwenye huo mstari wenye maneno ya B I U hapo juu. Mbele ya Icon ya bahasha kuna icon ya picha hiyo unatumia kuweka Image . baada ya hapo kuna Icon ya Video iko kama Negative photo.uki click hiyo itakuletea window kwenye window utaweka link ya video yako.. Umemaliza kazi

Au nyia nyingine ni:
[video ]weka link ya yu tube hapakatikati ya hizi tags za video[ /video]

eg [video ]http://www.youtube.com/........... [ /video]
Amen
 

asante mpendwa......ubarikiwe sana
 
Mwanakondoo
ebu weka basi video ya pambio moja basi tuone kama umefuzu. Au unataka kuiweka wapi huko nije kuchungulia ?

nitakujulisha mpendwa.....sitapenda uikose
 
jamani mimi vido hizo huwa nashindwa kuzifungua zinakuwa zinakatata how can i make those video work continuously
 
jamani mimi vido hizo huwa nashindwa kuzifungua zinakuwa zinakatata how can i make those video work continuously
Swali lako tata zikikataa unapata ujumbe gani? Lakini ili uone video kama za you tube adoble flash player ni requirement. Otherwise soma ujumbe unaoupata utakusaisa kutatua tatizo.
 
jamani mimi vido hizo huwa nashindwa kuzifungua zinakuwa zinakatata how can i make those video work continuously

kukatakata inategemeana na internet connection yako ina power liasi gani kama network yako si nzuri basi iache kwanza i load then ikimaliza ndio una iangalia vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…