mwita burure
Senior Member
- Jul 8, 2016
- 192
- 39
Habari za za saa hizi wana jf naomba msaaada jinsi ya kuweka PIN KWENYE pc
Asante sana mkuupin kivipi mkuu? yani unapowasha itake pin? kama ni hivo nenda control panel utaikuta kwenye start halafu user account utaona hii current akaunti yako i set paswword then done
Password nzuri ni ya kuset kwenye bios....hizo za window pc ikiibiwa tu umekwishaAsante sana mkuu
Unaiwekaje hiyo...?Password nzuri ni ya kuset kwenye bios....hizo za window pc ikiibiwa tu umekwisha
Before that lazima ujue ukiisahau password jua na pc unaiweka kabatini!!!Unaiwekaje hiyo...?
Maelekezo pleasePassword nzuri ni ya kuset kwenye bios....hizo za window pc ikiibiwa tu umekwisha