U urassa Member Feb 13, 2009 68 1 Apr 21, 2009 #1 Wenzangu inakuwaje hawa viongozi wanatuhamasisha namana ya kuwa na bora maisha, lakini hawatuelezi namna walivyopata utajiri waliokuwa nao ili tupitie njia hizo tuwe kama wao?
Wenzangu inakuwaje hawa viongozi wanatuhamasisha namana ya kuwa na bora maisha, lakini hawatuelezi namna walivyopata utajiri waliokuwa nao ili tupitie njia hizo tuwe kama wao?