Kuna watu wakiona hii comment watafikiri is a piece of joke kumbe ndiyo jinsi ya kuwa developer!!bonyeza Mara 7 kwa haraka haraka
Mmh umebonyeza mara ngapNekwenda kote huko na kubonyeza mara nyingi lakini haileti.
Msaada
Kwanini uzi ufungwe. Hebu tueleze faida za kuwa developer mana mimi nimejaribu hapa nimefanikiwa kuwa developer ila sijui faida na hasara. Na sioni mabadilikoNashukuru Now nimeweza baada ya restore simu.
Asanteni wote.
Modes please close this thread.
Sent using Jamii Forums mobile app
Faida ya kuwa developer Ni nn??Nashukuru Now nimeweza baada ya restore simu.
Asanteni wote.
Modes please close this thread.
Sent using Jamii Forums mobile app
si busara kufuta uzi ili hali solution yako itamsaidia mtu mwingine mbele uko akisachiNashukuru Now nimeweza baada ya restore simu.
Asanteni wote.
Modes please close this thread.
Sent using Jamii Forums mobile app