M macgirlzlover Member Joined Apr 25, 2016 Posts 8 Reaction score 3 Jul 23, 2016 #1 Habari Wakuu Nina TV aina ya Sony Bravia natamani sana kuiunganisha kwenye internet ili niweze kupakua apps lakini nimeshindwa. Nikienda kwenye settings sioni option ya internet Msaada Tafadhali kwa anayefahamu
Habari Wakuu Nina TV aina ya Sony Bravia natamani sana kuiunganisha kwenye internet ili niweze kupakua apps lakini nimeshindwa. Nikienda kwenye settings sioni option ya internet Msaada Tafadhali kwa anayefahamu
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,364 Reaction score 6,488 Jul 26, 2016 #2 Sony bravia model gani?