Free Basics for Android - APK DownloadAsante mkuu. Hapa ni lazima nitumie browser sio?
Free Basics for Android - APK Download
kama JF haipo, unai add manually (add service) , guide yote ipo umo
Free Basics for Android - APK Download
kama JF haipo, unai add manually (add service) , guide yote ipo umo
hapana ni baadhi tu, na wamezianisha japo nyingine ni mpaka usachiUnaweza uka-add site yoyote unayoitaka au inakuaje mkuu...?
Thanks.
tumia neno jamiiAsante boss lakini nikitaka kuongeza nikisearch Jf haipo
Hongera kwa muanzisha uzi na wachangiaji hasa dronedrake nilikua najua kwakutumia eatel huwez kuingia jf kwakutumia free basics mana nilikua siion kwene menu kwaiyo ilikua inanilazimu nikitaka kuingia jf kwa kutumia free basics nilazima nifanye interchange yadata toka eatel to tigo kumbe ilikua nikitendo cha kuadd tu mwee.!
Mbona rahisi tu mkuu tena kuna option yakukuwezesha kuchagua unataka kwenda page yangapi "chakufanya unaenda juu au chini yapage uliyopo kwene yale maneno ya 1 ...16 NEXT sasa ww unagusa ivo vidoti itakuletea kibox chakuandika page unayotaka kwenda ukiandika namba ya page alaf unairuhusu ''GO'' itakupeleka moja kwamoja kwene chaguzi lakofree basic yenyewe nashindwa kwenda page kwa mpangilio mfno nikikuta page ipo tano ngumu kurudi ya kwanza