Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
​unapatikana wapi nije kuonja jamani
nimeiona kiongozi.............nitafanya hivyo kumsuprize ma yeyoo, ubarikiwe sanaItabidi upike mkuu utaipenda ni nzuri!!Haswa kunywea chai au kahawa mida ya alasiri hivi burdani.
Hivi nawezaje tenganisha viini na ute wa kawaida wa yai
Karibu sana Young Master.Lozi ni jamii ya nuts my dia na zinapatikana katika duka lolote la nafaka.Asante sana mpendwa gorgeousmimi kwa recipe yako nzuri, bila shaka keki hii itakuwa tamu sana, I cant wait to taste it. Ila naomba unitoe ushamba mpendwa, lozi ndio nini na inapatikana wapi?
Karibu sana Young Master.Lozi ni jamii ya nuts my dia na zinapatikana katika duka lolote la nafaka.
Kwa kiingereza zinaitwa ALMONDS!
View attachment 248951