NAMNA YA KUTENGENEZA 3D ANIMATION

jmdume

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
317
Reaction score
302
Wajuvi wa haya mambo naombeni briefly ya mchakato mzima unaofanyika mpaka kutengeneza video script ya animation ... Hizi modern animation
 
1. Download software ya kutengeneza 3d, binafsi nakushauri uchukue blender maana ni open source na inafanya kazi vizuri sana.

2. Kama umechukua blender, download blender manual. Kama umechukua software nyingine, tafuta hiyo manual take.

3. Anza kusoma huku ukijaribu kufanya simple models. Ukishindwa kuelewa kitu ingia YouTube.
 
Wajuvi wa haya mambo naombeni briefly ya mchakato mzima unaofanyika mpaka kutengeneza video script ya animation ... Hizi modern animation
Brother Adam anafundisha sana hayo madude na ni mtu wa watu, kama uko Dar mtafute ofisini kwake hii ni kama kichwa cha kujifunza mwenyewe huna.


Usipotee muda nenda Riverside yuko huko.
0712 144 106
Tovuti ni hii digicom.co.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…