Huwa unatumia http method gani !?Tatizo ukifanya payload ya free host error ya 301 inakuhusu,,, nadhan isp washa blacklist free hosts zao kua payloaded na hiyo tunnel app,,, cjui kama kwako unafanikiwa!?
Wahindi hawaishiwi na tricks wale jamaa sema kibongobongo zimebuma. Sidhani kama kuna trick inayofanya kazi kwa sasa soo sad yanJamani wa Tz tunashindwa nini, maana nimepitapita katika blog nying za waind wanaonyesha mins wanavyotumia freebasics.com app kupeluz website mbalimbali kwa kuihack na kuchange proxy and VPN, xaxa kama kunamwenye ujuz huo humu jf aulete maana mm nataka kufungua google freely kwa kutumia fee basics
Anayejua
Help
Pleaz
GET & HEAD ila leo nimefanya payload ya mabasi mawili ivi nikaona yanaleta matumaini, ila tatizo ni jinsi ya kuiconfigure ndio shida bado cjajua...Huwa unatumia http method gani !?
Kuna basi tunapitia barabara ya TRACE methodGET & HEAD ila leo nimefanya payload ya mabasi mawili ivi nikaona yanaleta matumaini, ila tatizo ni jinsi ya kuiconfigure http injector ndio shida bado cjajua...
Hata Mimi naitumia sana inasaidia mno.free basic download it.Hii website ya Www.freebasics.com
Inakupa access ya kufungua baadhi ya sites kama jf,bbc swahili,shuledirect n.k
Ni kwa baadhi ya mitandao kama vile voda,tigo,airtel n.k
Pia ni kwa baadhi ya browser za simu tu kama vile operamini,dolphin,chrome n.k
hata kwa pc inawezekana.. sema unahitaji kuweka addons kama user agent switcherHii website ya Www.freebasics.com
Inakupa access ya kufungua baadhi ya sites kama jf,bbc swahili,shuledirect n.k
Ni kwa baadhi ya mitandao kama vile voda,tigo,airtel n.k
Pia ni kwa baadhi ya browser za simu tu kama vile operamini,dolphin,chrome n.k
FOR NOW IPO FREE INTERNET UNLIMITED KARIBUNI INBOX