laut Member Joined Feb 6, 2013 Posts 28 Reaction score 4 Jan 5, 2015 #1 Wana JF naomba kujuzwa.Niko Singida na nina Dish la futi 6 nifanyeje ili niweze kupata channel za TV za FTA za movie, Sports, wwe, news na zile za kibongo
Wana JF naomba kujuzwa.Niko Singida na nina Dish la futi 6 nifanyeje ili niweze kupata channel za TV za FTA za movie, Sports, wwe, news na zile za kibongo
N Nando JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 4,848 Reaction score 2,061 Jan 5, 2015 #2 Nunua DSTV mkuu hutajuta, achana na hayo madish yapo locally sana. Utaangalia movie+sports+wwe+news hadi kichwa kikuume.
Nunua DSTV mkuu hutajuta, achana na hayo madish yapo locally sana. Utaangalia movie+sports+wwe+news hadi kichwa kikuume.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,240 Jan 5, 2015 #3 1.tafuta fundi akufanyie 2.ukiingia tu jukwaa hili juu utaona uzi umeandikwa ulimwengu wa fta usome mpaka uweze kufanya mwenyewe
1.tafuta fundi akufanyie 2.ukiingia tu jukwaa hili juu utaona uzi umeandikwa ulimwengu wa fta usome mpaka uweze kufanya mwenyewe
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Jan 6, 2015 #4 nunua receiver mpg4 iwe na bisskey utayafurahia maisha na dish lako la ft6.nakushauri ununue strong 4922 ambayo ni bora zaidi
nunua receiver mpg4 iwe na bisskey utayafurahia maisha na dish lako la ft6.nakushauri ununue strong 4922 ambayo ni bora zaidi