Namna ya kuongeza internet speed!

Namna ya kuongeza internet speed!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,653
Kama kuna anayejua jinsi ya kuongeza internet speed kwa computer zenye Window 7 operating system wakuu anisaidie. Nakumbuka kwa watumiaji wa XP iliwezekana, mimi naomba nisaidiwe kwa Window 7
 
Unatumia connections ya namna gani? either modem, wired or wireless?
 
modem mkuu tena ya airtel

Kwa ufaham wangu wa IT, window 7 ipo poa sana abt internet speed, kama ipo slow may be virus or jaribu to use google chrone or fire fox browser. kama bado itakua chini nichek private mkuu.
 
Mimi itakusaidia kujua jinsi ya kuongeza kasi ya internet katika Windows 7 .... Install Anti Virus Software au Firewall au usalama wa internet katika yote devices.Software si kuongeza kasi ya internet.I kuwa binafsi uzoefu katika matumizi hayo. hivyo unaweza kutumia Browser karibuni, unaweza pia kutumia Torrent upload na kushusha ... Rudisha vifaa na Connection, Modem, Router na Anzisha upya everyday.It Kompyuta husaidia kuongeza kasi ya internet.Check kasi ya internet katika hapa Scanmyspeed.com
 
Inawezekana but haiwezi kuzidi limit ya bandwidth connection yako
 
Hii inaitwa google translate, wadau kuna aliefaham kilichoongelewa apo

Mimi itakusaidia kujua jinsi ya kuongeza kasi ya internet katika Windows 7 .... Install Anti Virus Software au Firewall au usalama wa internet katika yote devices.Software si kuongeza kasi ya internet.I kuwa binafsi uzoefu katika matumizi hayo. hivyo unaweza kutumia Browser karibuni, unaweza pia kutumia Torrent upload na kushusha ... Rudisha vifaa na Connection, Modem, Router na Anzisha upya everyday.It Kompyuta husaidia kuongeza kasi ya internet.Check kasi ya internet katika hapa Scanmyspeed.com
 
wakuu je? kwenye simu haya mambo yanawezekana natumia nokia c5.
 
Back
Top Bottom