Call Settings > Additional Settings > Caller ID halafu hide caller
Hakuna simu inaweza kupigwa bila CALLER ID kuwa ON au kuwezeshwa na mtandao husika.
Huduma ya kupiga simu kwa kuficha namba ili isionekane kwa mpigiwaji ilisitishwa toka mwaka 2006 huko. Zamani ulikuwa unaweza kupiga simu na mpigiwaji asione namba.
Hii ina maana ukificha utambulisho wako kama mpigaji, hakuna simu itakayotoka.
Thread ClosedHakuna simu inaweza kupigwa bila CALLER ID kuwa ON au kuwezeshwa na mtandao husika.
Huduma ya kupiga simu kwa kuficha namba ili isionekane kwa mpigiwaji ilisitishwa toka mwaka 2006 huko. Zamani ulikuwa unaweza kupiga simu na mpigiwaji asione namba.
Hii ina maana ukificha utambulisho wako kama mpigaji, hakuna simu itakayotoka.
Hii post imefunga uzi.. Ndo ukweli wenyewe...!!! Na ndo maana hasa ya usajili.. Huwezi sajiliwa halafu uruhusiwe kupiga simu kwa private number. Unless otherwise uruhusiwe na mtandao husika.. NAYO NI PROCESSHakuna simu inaweza kupigwa bila CALLER ID kuwa ON au kuwezeshwa na mtandao husika.
Huduma ya kupiga simu kwa kuficha namba ili isionekane kwa mpigiwaji ilisitishwa toka mwaka 2006 huko. Zamani ulikuwa unaweza kupiga simu na mpigiwaji asione namba.
Hii ina maana ukificha utambulisho wako kama mpigaji, hakuna simu itakayotoka.
Hiki ndicho ninachojua! Kuna kipindi kuna mtu alikuwa anapenda kuniazima sim apigie watu wake, ilikuwa kiswaswadu mi nikawa nazima Call Id na simu zilikuwa hazitoki, akiuliza namwambia salio limekata.Hakuna simu inaweza kupigwa bila CALLER ID kuwa ON au kuwezeshwa na mtandao husika.
Huduma ya kupiga simu kwa kuficha namba ili isionekane kwa mpigiwaji ilisitishwa toka mwaka 2006 huko. Zamani ulikuwa unaweza kupiga simu na mpigiwaji asione namba.
Hii ina maana ukificha utambulisho wako kama mpigaji, hakuna simu itakayotoka.
Mleta mada soma muongozo huo...Hakuna simu inaweza kupigwa bila CALLER ID kuwa ON au kuwezeshwa na mtandao husika.
Huduma ya kupiga simu kwa kuficha namba ili isionekane kwa mpigiwaji ilisitishwa toka mwaka 2006 huko. Zamani ulikuwa unaweza kupiga simu na mpigiwaji asione namba.
Hii ina maana ukificha utambulisho wako kama mpigaji, hakuna simu itakayotoka.
dah, nimekumbuka zamani tulikuwa tunajiachia ma private number.Hakuna simu inaweza kupigwa bila CALLER ID kuwa ON au kuwezeshwa na mtandao husika.