Namna ya kuhama chuo kimoja kwenda kingine

Namna ya kuhama chuo kimoja kwenda kingine

gyeetitus

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
86
Reaction score
39
Wana JF habari yenu humu..

Nilikuwa nataka kuuliza swala moja hasa kwa wale waliowahi kupitia au kuhama chuo kimoja kwenda kingine. Ni namna gani unaweza kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine iwe ni degree au diploma yeyote.

Hebu tujuzane namna unavyoweza kufanya kwa mfano umesoma mwaka wa kwanza na unataka kuhama chuo mwaka wa pili. Hebu tutiririke hapa.
 
Nenda chuo unachotaka kuhamia, uwe na nakala ya matokeo yako, waeleze wao ndiyo watawasiliana kuhamisha matokeo siyo wew tena, kozi zifanane, utatoa gharama ya miamala
 
Nenda chuo unachotaka kuhamia, uwe na nakala ya matokeo yako, waeleze wao ndiyo watawasiliana kuhamisha matokeo siyo wew tena, kozi zifanane, utatoa gharama ya miamala
Safi....basi ushanifungua kitu hapo....
 
Back
Top Bottom