Namna ya kufanya USB Tethering

Masterproud

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
441
Reaction score
119
Wadau ninatatizo la kufanya USB Tethering kuconnect internet toka kwenye Android phone yangu kwenda kwa PC. Naconnect phone kwenye PC, then nakwenda setting, development, USB DEBUGING. Then narudi Internet and Hotspot, USB TETHERING. Baada ya hapo naingia kwenye blowser lakini haiconnect kwenye internet. Simu yangu ni ya line 2 lakini ninapofanya hvy huwa nadisconnect 1. Pia nimejaribu kutumia dashboard ya vodacom haidetect hata line. Je ninakosea nn? Nifanyeje ili kufanikisha hili? Nifuate hatua zipi na je kama kuna application ya tethering naomba mnisaidie.
 
weka wazi simu yako ni ya aina gani maana adroid ni os
maana setting procedr zinatofautiana
 
Unapata internet kwenye simu itself kabla ya ku connect kwenye PC?

 
Mkuu hiyo simu yako ina mlolongo mrefu, mimi nina samsung galaxy mini,OS ni Android 2.2.1.

Nikitaka ku tether naenda kwenye "setting" > "wireless & Networks" > "Tethering and Hotspot" halafu naamua nifanye "Usb tethering" au "wireless internet (mobile AP)" na vyote vinafanya kazi.

Hakikisha umeset internet settings vzr na uwe unapata net kwenye simu kabla hujafanya tethering.
 
Unatumia OS gani? maana kwenye XP hii kitu sina hakika kama inakubali
 
tumiaz wifi mkuu,ukitumia usb cable kwa w xp haikubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…