kuna trick iliwahi kuwekwa hapa ya kuongeza channel, hiyo kwa sasa haina maana na hakuna namna ya kuchakachua upate channel zote free. Endelea kulipia tu..
Nikweli unaweza kuchakachua jinsiya kuchakachua lipia kwanza alafu chagua chanel ambayo unayo ipenda kisha chomoa kadi hapo huwezi kulipia tena subiri siku chache zijazo utafiti uongezeke tutafaha mishana
Afadhali niendelee kulipia kila mwezi kuliko kulipa laki 2 zisizoleta matokeo ya uhakika.
Kesho waking'amua na kufanikiwa kuondoa uchakachuzi wa laki 2 itakuwa hasara kubwa.