Mwaka mpya
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 213
- 222
program / apps zimetengenezwa kwa languages zao, swali lako ni kama mtu anaeuliza namna ya kutunga misemo yake, inabidi uelewe kwanza kugha kablatunga misemo yako, cha muhimu jifunze vitu basic vya programming languages na pia ujue program inafenyeje kazi ndio utaweza kupata mwanga wa jinsi ya kucrack, kuna software kama olly debugger kwa pc na lucky patcher zinafanya zoezi liwe rahisi kwa baadhi ya appsWakuu habari, naomba mwenye ujuzi wa ku crack applications anisaidie process zake,
Maana nimejaribu mara kadhaa nakua nafail
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana mkuu nimekuelewa zaidi, sema nimejaribu kutumia lucky patcher inafika sehemu inazingua nakuandika network proble ingawa net ipo strong mkuuprogram / apps zimetengenezwa kwa languages zao, swali lako ni kama mtu anaeuliza namna ya kutunga misemo yake, inabidi uelewe kwanza kugha kablatunga misemo yako, cha muhimu jifunze vitu basic vya programming languages na pia ujue program inafenyeje kazi ndio utaweza kupata mwanga wa jinsi ya kucrack, kuna software kama olly debugger kwa pc na lucky patcher zinafanya zoezi liwe rahisi kwa baadhi ya apps
Wanaotengeneza apps hawapendi app zao ziwe cracked kirahisi, Nao huwa wanajaribu kuzicrack kwa lucky patcher na wakiona zinaweza kuwa cracked wanaongeza ulinzi na ndio maana unapata hizo error, Hio ni app gani kwani??Shukrani sana mkuu nimekuelewa zaidi, sema nimejaribu kutumia lucky patcher inafika sehemu inazingua nakuandika network proble ingawa net ipo strong mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
apps zinatofautiana katika security zilivyowekwa na developerWakuu habari, naomba mwenye ujuzi wa ku crack applications anisaidie process zake,
Maana nimejaribu mara kadhaa nakua nafail
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kweny hapana weka ndiyo.Kamanda, go for shareware, watu wanatumia akili na muda wao kutengeneza hivi vitu, wewe unataka uvipate bure? hapana.
hahahaha, huyu ndiye mwenyewe rey mysterio, sio copy, sipendi ku-crack kwa sababu hivi vi-application vya bure vinakuwa na virus au malware wengiHapo kweny hapana weka ndiyo.
Km imewezekana ww kutumia jina na picha ya RIO MYSTERIO, crack inawezakana mkuu. Crack ni mpango mzima.