Namna 'Mkulu' alivyojaribu kuitia kwapani LHRC ya Kijo Bisimba bila Mafanikio

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Mpaka sasa hakuna cha TUCTA, TUGHE, BAKWATA, CWT, NEC, wala KIGODA CHA MWALIMU vyote viko mikononi mwa mtu fulani.

Wanachama wanateseka, kulia na kusaga MENO BILA MTETEZI, Wengine wako busy kupongeza hata matamko.

- Anyway mara tu baada ya uchaguzi wa mwaka jana mtakumbuka Mkurugenzi wa LHRC alipata ajali ya gari, akiwa hospitali 'Mkulu' wetu alikuwa wa kwanza kwenda kumjulia hali hospitali

- Baada ya kupona Bi Kijo Bisimba aliendelea na majukumu yake kama kawaida ambayo 'Mkulu' hapendi hata kuyasikia, Matokeo yake akaanza kutishia mbele ya MAKAMERA kwamba atawachunguza eti kwa kuwa wanawatetea watu.

Kutokana na 'biti' hilo ni kama LHRC wamepunguza speed au mnaonaje wadau ?

Will TLS & LHRC also be compromised ?
 
Nilipata Habari kuwa Bisimba akiwa hospitali yalitoka maagizo kuwa bill ya matibabu itakipiwa na mfuko mkuu ila huyo mama akikataa na kusema wanalo fungu la matibabu hata wao.
Hukupata habari kama lissu nae alikataa fungu la matibabu la serikali akasema chadema na mange wanalo fungu lao!
 
Mpaka sasa hakuna cha TUCTA, TUGHE, CWT, NEC, wala KIGODA CHA MWALIMU vyote viko mikononi mwa mtu fulani.

Wanachama wanateseka, kulia na kusaga MENO BILA MTETEZI, Wengine wako busy kupongeza hata matamko.

- Anyway mara tu baada ya uchaguzi wa mwaka jana mtakumbuka Mkurugenzi wa LHRC alipata ajali ya gari, akiwa hospitali 'Mkulu' wetu alikuwa wa kwanza kwenda kumjulia hali hospitali

- Baada ya kupona Bi Kijo Bisimba aliendelea na majukumu yake kama kawaida ambayo 'Mkulu' hapendi hata kuyasikia katishia mbele ya MAKAMERA kwamba atawachunguza.

Kutokana na 'biti' hilo ni kama LHRC wamepunguza speed au mnaonaje wadau ?

Will TLS & LHRC also be compromised ?
Asingekwenda mngelalamika ....amekwenda shida tena!
 
Kwakweli vyama vya wafanyakaz ndo vinatia huruma....hata cjui wanatukata hela kwaajili gan tena kama hawawez kututetea!
 
Huyu ajuza mnafiki sana. Polisi wameuliwa kiharamia tena wako kazini, hakutamka lolote.
 
Nilipata Habari kuwa Bisimba akiwa hospitali yalitoka maagizo kuwa bill ya matibabu itakipiwa na mfuko mkuu ila huyo mama akikataa na kusema wanalo fungu la matibabu hata wao.
Jamaa haoni shida kutenga fungu la kudidimiza wakosoaji wake kwa kweli
 
Back
Top Bottom