mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Migogoro ni kutoelewana kifikra utaratibu mawazo mienendo na hata katika kuamini
Tanzania yetu ina migogoro mingi iliyoanza siku nyingi kidogo. Bahati mbaya watu wengi huichukulia mitafaruku hii Kama kitu kidogo Sana jambo ambalo si sahihi migogoro hii ni hataer Sana.
Labda nitaje maeneo machache tu yenye migogoro. Mosi, Uchaguzi , huu unaishi ndani ya fikra za wananchi. na mungu anatulinda tu lakini IPO chuki kubwa.
Mbili, Raslimali, Mgawanyo sio fair hii inafanya wananchi wish kwa fikra ya kibaguzi
Tatu, Elimu . Dunia imefunguka utandawazi umeennea ukiwanyima watu elimu bora wataipata mitandaoni na kupitia maisha yasiorasmi hapa hawatakuamini Na kila jambo wataona wanafanyiwa dhulma.
Elimu bora ni walimu walioridhika
Afya, tabia ya mgawanyiko baina ya wasionacho na walioridhika ni dhambi inayoitafuna nchi. Wanapoona wengine wanapata Huduma bora nje ya nchi.
Njia bora kutatua
1. Kuacha dharau na tabia ya kutumia nguvu katika kutoa maamuzi popote pale
2. Haki. Watu kupewa haki zao. nitafafanua baadae
3. Baada ya chaguzi zetu. Endapo haukuwa Huru basi huacha chuki ya kudumu vifuani mwa raia
4. Vyombo huru. Jeshi la Polisi ingawa sehemu zingine Africa wanaotumia jw kulinda watawala hali huwa mbaya zaidi.
5. Huduma za jamii imara na zenye uhakika. Uhusiano katiika kuwapa wananchi Huduma za hovyo na migogoro ni mkubwa.
6. Viongozi wote walioviongozi wajaribu kuvaa viatu vya wananchi. Hii ni pamoja na kutotembea na silaha. Nchi moja ya scandinavia hata polisi hawana silaha
7. Kutenga mijadala mikubwa ya ishu muhimu za nchi na ichukuliwe na kutchambuliwa na wataaalam ie ifanyiwe kazi
8. Kwa migogoro inayoendelea nchini..yafanyike maridhiano, kwa mfano madaktar na serikali, walimu na serikali, machinga etc, nyingine muhimu ni mediation, facilitation, arbitration na mahakama hapa zitende haki, nchi iimarishe wanasheria wa kujitegemea na ziwe entity muhimu nchini. Zisiingiliwe na rais
9. Kwa migogoro inayoendela serikali iendelee kuwa sikivu na kutatua matatizo ya watu. Bila hivyo migogoro iliyopo itakuwa mikubwa na kudhani kuwa watatumia jeshi kumbe, jeshi ni petrol kwenye moto.
Muhimu kwa heading yangu hapa juu
Kibiti na sehemu nyingine my government do this for any cost

- Acknowledge the other person's concerns. Hii ni hatua muhimu sana, na wengine waliizungumzia hata lilipotokea tatizo la mh. mmoja kuzozana na polisi. wengi hawataki kukubali kwamba mh ndie alikuwa a control ile hali. Katika migogoro yyt ile usione vibaya kuonekana mjinga, jishushe, na huu ndio ustaarabu.
- Calmly discuss one anther's concerns. Migogoro ina pande zake kila upande unamadai yake, endapo hakuna maridhiano na makubaliano baina yenu, mgogoro utadumu na utakomaa
- Give them chance to speak. Ieleweke wazi kabla mgogoro haujajitokeza ulianza mahala flani, mapigano ama hata mauaji ni matokeo ya kutosikilizana, Utoe nafasi kwa pande moja na nyingine, na hapa ujitahidi upate maumivu ya mpinzani wako
- Respond to the these person with respect. Heshima ni jambo jema wakati wote. Hata watoto wachanga wanapenda heshima
- Plan your body language-....Hapa ninamaanisha silaha, vitisho mbalimbali kwenye kutatua mgogoro achana na mambo ya vitisho
- Use humor. Hapa ni muhimu kutambua asili yenu, watu, taifa moja, familia moja, nchi moja, wamoja, wapenda amani, wapole, wastahimilivu. nk