Type cdm kwa herufi ndogo.INFO BOY,,,,MBONA KUNA KWANGU KITU KINAGOMA,,,,baada yaku click window botton na r,,zen CDM,,,inaleta ms inasema window canot find the respective file,,inakuaje hapo
:doh:cdm lazima ataleta error, type cmdType cdm kwa herufi ndogo.
ok sawa ni typing error ni cmd:doh:cdm lazima ataleta error, type cmd
Ila mtoa maada kama unataka kuelemisha watu ni vema unatumia njia ambayo hata mtu anaejifunza computer keo ataweza kukuelewa, kwa mfano mwambie Click Start, Then run then kwenye command prompt ndio type cmd kwa Windows Xp, kama windows 7 - Start - then mahali inaonyesha search for windows and files hapo type cmd
:doh:cdm lazima ataleta error, type cmd
Ila mtoa maada kama unataka kuelemisha watu ni vema unatumia njia ambayo hata mtu anaejifunza computer keo ataweza kukuelewa, kwa mfano mwambie Click Start, Then run then kwenye command prompt ndio type cmd kwa Windows Xp, kama windows 7 - Start - then mahali inaonyesha search for windows and files hapo type cmd
Roght Click kwenye file /folder husika, nenda properties, then utaona sehem ya hidden. Click hapo then apply ok! Kwa windows os
mkuu nimesha i hide,nipe jinsi ya kuiona tena.
simple,, kama unatumia windows 7 au xp fungua folder yoyote, kwenye toolbar ya juu utaona toools, nenda folder options then utaona show hidden filed/folder utaclick hapo then file/folder lako ukirudi utaliona, kulificha tena nenda ondoa "show hidden folders" ...... kama unatumia wind 8 fungua foler lolote juu kabisa utona option ya view, click hapo then tafuta ki option ya hidden items click hapo and vice versa...
Nimefanya kama ulivyoelekeza mkuu jinsi ya kuliona folder lkn ktk laptop yangu imegoma kuonekana hlo file nlilo li-hide nifanyaje ili nlione tena?
Nimefanya kama ulivyoelekeza mkuu jinsi ya kuliona folder lkn ktk laptop yangu imegoma kuonekana hlo file nlilo li-hide nifanyaje ili nlione tena?
INFO BOY,,,,MBONA KUNA KWANGU KITU KINAGOMA,,,,baada yaku click window botton na r,,zen CDM,,,inaleta ms inasema window canot find the respective file,,inakuaje hapo
unatumia os/ windows ipi?? je unakumbuka location ya file lako kabla ya kuli hide? reply
(b)Fuata steps hizi kufichua:
1.Fungua Command Prompt na utatypeattrib -s -h D:\Videos"kisha uatona folder lako