Tambwe alishindwa kufuata mfumo wa kocha gani?
Toa sababu Dan ashindwe kuendana na kasi,ya Simba .Wakati mnamfukuza Tambwe na kumleta hamkujua hayo yote.Unanikumbusha kuna mwenzenu anaitwa
Revocatus Kashaga,alikuwa anaanzisha mada kama zako siku hizi kaamua kuhamia kwenye siasa