Namkumbuka lakini simtamani

"Only two things are infinite, the universe and human stupidity, and I'm not sure about the former". Hiyo quote ya Einstein itafakari kabla hujaendeleaa kufuka moshi

Ok then,Albert Einstein KANDIRI
 
Last edited by a moderator:
We wasema lakini kilichopo hapo ni dormant volcano waiting for a small crevice to explode.

Not like that mkuu.najitambua na nnayatambua malengo yangu.kumkumbuka mtu kwa mema alyokufanyia sio mbaya.just a moment bt not for a life @ MtamaMchungu
 
Ndiye mpenzi wako halali japo unajikimbia. Jambo la kumwaza ni uthbitsho tosha. Kaeni yamalzen japo wajiamin utapata mwingne ila hatokuwa real choice.
 
Ndiye mpenzi wako halali japo unajikimbia. Jambo la kumwaza ni uthbitsho tosha. Kaeni yamalzen japo wajiamin utapata mwingne ila hatokuwa real choice.

Usseme hvo Antidius Mutalemwa kwan baada ya miez kama sita hv nlpata mtu na nnae mpaka sasa na tuna maendeleo mazur tu.hope huyu wa sasa ndie chaguo langu
 
Last edited by a moderator:
Usseme hvo Antidius Mutalemwa kwan baada ya miez kama sita hv nlpata mtu na nnae mpaka sasa na tuna maendeleo mazur tu.hope huyu wa sasa ndie chaguo langu

Hii inaitwa state of denial, you still love the guy. Kama una miezi sita na mtu mwingine and you still remember (fantasize?) about your past romance, ni ishara kwamba bado yupo ndani yako.

Trust me there is a part of you that is weak about him, siku akikutaka hutakataa, utaenda tu.

Either way, nisiusemee moyo wa mtu.
 
Hilo limwandiko lake libovu namna hiyo hata Invisible atamuelewa kweli? DIV 5 ya Kawambwa @ work..
Bas poa tuwekee wewe mwandko wako mzur kama utalipwa.huyo invisible ameandkiwa yeye??
 
Last edited by a moderator:

T doesn't mean dat npo inluv na nw man kwa miez sita.yaan toka niachane na huyu nliye mkumbuka hapa miez sita mbelw nkapata mtu mwngne ambaye mpaka sasa nnae..
 
Bas poa tuwekee wewe mwandko wako mzur kama utalipwa.huyo invisible ameandkiwa yeye??
Unaona sasa, unaniuliza mimi kama nafahamu jukwaa la wakubwa, wewe mwenyewe hata taratibu za kujiunga huko huzijui? Unakashifu anayeishi Ikulu wakati upo nchi wa watu!!
 
Unaona sasa, unaniuliza mimi kama nafahamu jukwaa la wakubwa, wewe mwenyewe hata taratibu za kujiunga huko huzijui? Unakashifu anayeishi Ikulu wakati upo nchi wa watu!!

We lofa kwel.nijiunge au nsjiunge na jukwaa la wakubwa m inanihusu nn?? U get an empty thinking mind. .
 
Kumkumbuka siku moja moja ipo....wewe ni binadamu na una moyo pia na hatakuna mbaya wa moja kwa moja anayo mazuri yake japo chembe ndio yanayo kufanya ukumbuke...............
 
Mkikutana lazima mpashe KIPORO,,,na kiporo kinapashwa na moto mchache kwa hizo hizo unazozikumbuka kisses zake,romantic conditions.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
We lofa kwel.nijiunge au nsjiunge na jukwaa la wakubwa m inanihusu nn?? U get an empty thinking mind. .
Unahisi unajua kutukana sana kuliko wengine....kwani aliyeanzisha suala la kujiunga na jukwaa la wakubwa ni nani kati yangu mimi na wewe? Hebu jibu hilo swali ili dunia ione kiasi gani ulivyo na akili timamu...
 
Mkikutana lazima mpashe KIPORO,,,na kiporo kinapashwa na moto mchache kwa hizo hizo unazozikumbuka kisses zake,romantic conditions.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Haya bhana stata mzuka...ila sidhan
 
Last edited by a moderator:
Unahisi unajua kutukana sana kuliko wengine....kwani aliyeanzisha suala la kujiunga na jukwaa la wakubwa ni nani kati yangu mimi na wewe? Hebu jibu hilo swali ili dunia ione kiasi gani ulivyo na akili timamu...

Sdhan kama prefex inafit jukwaa la wakubwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…