Numbisa nimekua nikisoma habari zake hasa katika Uzi wa kupeana like.Na nimetokea kuvutiwa naye kwa jinsi anavyopost vitu vya kuelimisha .Na inaonekana ni mwanamke makini.[emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76]
Ningeweza kuongea mengi pm .Ila pm umeifunga sio mbaya hata hapa ujumbe utaupata. Numbisa ujue huku kuna jamaa anakukubali kwa kazi ila sio kwa mchezo mchezo.