ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,964
- 51,793
- Thread starter
-
- #21
Una uhakika au unaropoka? Kwa hiyo Nchi zote za Africa haziwezi kitu ila Machado? Mdomo haujengi gorofaGas ya mtwara hata Qatar haioni ndani ni hivyo maccm yapoyapo tu
Usipojiunga huko uta command vipi bei?OPEC NI LIKITU LISILO EPUKIKA?
sio amegundua bhana,,, yani kitu kipo nyumbani kwangu miaka na miaka wew unakuja unasema ndo umekigundua!!!???? Sema amekua wa kwanza kuyaona.Mzungu amegundua ndiyo inamfanya hayo mafuta yawe yake?Kwa nini asingeenda kugundua kwao Ureno?Hongera kwao Namibia kwa ugunduzi huo.
congo ni nchi ya kiislamu mzee?Sio kweli, Namibia hamna waislam na kama wapo ni wa kutafuta kwa tochi sasa watawezaje kufanya ugaidi na hata jirani yao Angola hatusikii hayo mambo ya ugaidi.
Bei unaweza kujipangia sema wanacho ogopa wengi yasiwakyte ya Ghadafi.Usipojiunga huko uta command vipi bei?
Unajua kwamba hata wewe hapo ni moja ya hizo rasilimali au unafikiri rasilimali ni nini.Rasilimali tele zipi zilizopo Tzn? Tuna Mali za kuunga unga 😂😂
Wale magaidi wa ADF kule mashariki mwa Congo wanaoungwa mkono na Isis ni waislam.congo ni nchi ya kiislamu mzee?
Na nyuma ya magaidi lazima atakuwa mzungu ili kutuvuruga tuSs hv utaskia makundi ya kigaidi yanaisumbua Namibia
Tanzania mbona kuna rasilimali tele na hatuoni hayo. Acheni kusingizia rasilimali, Rwanda, Burundi, Somalia nk kumekuwa na vurugu kibao na sijui kuna rasilimali gani kwenye hizo nchi.
Na Lucas MwashambwaMy Take
Mzungu amegundua wale vihelehele wataanza kusema ni Mafuta Yao eti wagawane pasu Kwa pasu.
Hakuna Taifa linaweza maliza Mali hapa Africa.
Hongera sana Namibia Kwa Ugunduzi huu mkubwa utakaofanya kuwa Norway ya Africa Namibia Racks Up Another Major Offshore Oil Discovery | OilPrice.com
ADF wanaungwa mkono na Isis tu ila Rwanda wanawaunga mkono wale waasi wa M-23. Acha kukariri mambo ya kwenye vijiwe.Kuna cha kujifunza pia, magaidi wa ADF wanaungwa mkono na Rwanda ambayo pia inaungwa mkono na Marekani.
Sio uchache wa watu ila swala muhimu ni umakini wa viongozi.Kidogo namibia viongozi wao wanauchungu na nchi yao pia ile nchi iba watu wachache sana hayo mafuta yatabadilisha sana maisha yao
Sasa tupe ushahidi wa madai yako.Unaongea ukiwa Kwa Mtogole, wakati nimeshaingia hadi killing zone yao
Na nyuma ya magaidi lazima atakuwa mzungu ili kutuvuruga tu
Hilo linajulikana sana
Gaidi masikini sijui anapata wapi silaha kali hivyo bila kuwa na mfafhili
Itatuchukua miaka mingi kugundua haya
Ukiwaza mbinu zao za utafutaji utashangaa sanaWazungu wanatujua kutuvuruga, wanafadhili vitu ambavyo huwezi kuamini na wanavyojiweka kama hawajui kitu kumbe wanatuchora tu.
Sorry! bahati mbaya niliibiwa simu. Hivyo kulithibitisha hilo kwasasa imeshindikana. Nitakuwa na la kuchangia endapo tu kama simu yangu itapatikana.Sasa tupe ushahidi wa madai yako.