Kwa uandishi huu, umekalia nafasi katika ofisi? Kweli Tanzania tuna safari ndefu mno.
Wafundisheni watoto kazi, acheni zinaa, hamna thawabu utapata ukiwala, zaidi ya uwezekano wa majuto.
Vijana tujitahidi hadi kufikia hatua ya kuajiriwa tuwe matured. Mnakaa ofisini kushindana uzuri, kwamba una mvuto kuliko mwenzako, a Man? I doubt!