Kwani hakuna wanawake wengine ni huyo tu!!!!!
Unaonaje uokoe jahazi!!!!!!!!!!!
hehehe boss unaweza kuta eee.
Tayari BAK maamuzi magumu ni jadi yangu!!
Shkamoo Ticha.Wakati unampeleka hiyo shule ya mapenzi, nakushauri anza kutafuta mwanamke mwingine. Kisha mshukuru Mungu kwa kukufunulía maono ya uzinzi wake mapema.
BTW ulishagegeda mzigo? Una uhakika ulishamfikisha mlima Kibo? Anatoa ushirikiano? Ulimkuta bikira?
Mwanamke ukimpa bakora vizuri ikamuingia barabara mpk akakuita baba na kukuomba maji ya kunywa katikati ya kichapo, hata kama alikuwa hakupendi atajikuta analazimika tu kukupenda. Hana jinsi, atafanyaje sasa?
Heaven on Earth mwenyewe unanipiga cheeeeenga sijui unahisi mimi kibabu!!
Lets hook up basi. And not out of pity please!
Ni mwanamke mzuri mmmno. Huyu Mungu jamani sijui kwanini anamwacha shetani atawale hivi!!
Kwani hakuna wanawake wengine ni huyo tu!!!!!