Namfananisha Pierre Liquid na yule mlinzi aliyedharirishwa na waziri Ngeleja pale kwenye ATM. Mungu alimlipia!

DAB keshachokwa hivi sasa na hakuna mtu wa Magu anaemtaka hivyo njia pekee anayoitegemea ni yeye kugombea urais 2025 kitu ambacho najua atafeli kuanzia ngazi ya wadhamini.

Yule Dogo ajirudi tu watanzania kwa sasa wamemtenga
 
Ila kumbuka siasa ni upepo, sio hesabu Jk alitaka Membe amrithi upepo ukageuka,Bashite ni ndoto kuwa mrithi,Atujamkosea Mungu kihivo hadi atuache,maliyamungu makazi yake ya kudumu yatakuwa segerea,wao si wakubwa kuliko Tz ogopa sana watu wakimya wasioongea
 
Ingekuwa rahisi hivyo Kikwete angemuweka Membe. MiCCM ione hivi hivi lakini kuna muda huwa inajitambua.
 
Nzagamba ngeleja unajisikiaje unapo upitia uzi huuu.muwe mnapunnguza viburii mpatapo hayo madaraka sema ni swala la mfumo tuuu la sivyo hata ubunge usingekua nao.

Ni kama jiwe alivyo na kiburi cha madara, wenzie akina nkapa alivyo waita ikulu kuomba ushauri na Maoni yao.mr nkapa alishauli sana kucha matumizi ya neno SERIKALI YANGU/MAGUFULI bali litumike serikali itokanayo na chama cha mapinduzi. Bado anakomaa na serikali ya magufuli.

USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…