thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Na mavyeti yako bado unasaga tu,elimu na bahati piaMwenye cheti cha daudi bashite chenye F saba yaani zero ya 35 akiweke hapa kwa ajili ya rejea tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mavyeti yako bado unasaga tu,elimu na bahati piaMwenye cheti cha daudi bashite chenye F saba yaani zero ya 35 akiweke hapa kwa ajili ya rejea tafadhali
DAB keshachokwa hivi sasa na hakuna mtu wa Magu anaemtaka hivyo njia pekee anayoitegemea ni yeye kugombea urais 2025 kitu ambacho najua atafeli kuanzia ngazi ya wadhamini.NI vigumu kumshughulikia bashite, akitoka magu madarakani atamuacha mtu wake ambaye mtu huyo anachaguliwa pia na bashite,sasa hapo unadhani anawezekana ? bashite kumlipia kisasi itachukua miaka sana,usidhani yeye ni mjinga nae ana rafiki zake, mkuu kuna watu ni un touchable na mmoja wao ni bashite,kuna uzi humu leo imewekwa video yeye mwenyewe anadai kawazidi wakuu wake kikazi mambo mengi sana so hawajamfikia
kwa kumalizia tu nikukumbushe kucheza na bashite ni kucheza na jeska, so kumshughulikia mpaka magu akipangiwa majukumu mengine na mwenyezi mungu ya kuongoza malaika huko fildausi
MAENDELEO HAYANA VYAMA, AIR HOSTAGE FANYENI KAZI ZENU KWA UMAKINI
Daaah wazee watu wengine sjui mnawazaga nn aseee but actually you made my daykipo kuna uzi nimekiona ana FFFFFFF FEDERATION OF FOOTBALL FROM FAR FENT FORD OF AIR HOSTAGE
Ila kumbuka siasa ni upepo, sio hesabu Jk alitaka Membe amrithi upepo ukageuka,Bashite ni ndoto kuwa mrithi,Atujamkosea Mungu kihivo hadi atuache,maliyamungu makazi yake ya kudumu yatakuwa segerea,wao si wakubwa kuliko Tz ogopa sana watu wakimya wasioongeaNI vigumu kumshughulikia bashite, akitoka magu madarakani atamuacha mtu wake ambaye mtu huyo anachaguliwa pia na bashite,sasa hapo unadhani anawezekana ? bashite kumlipia kisasi itachukua miaka sana,usidhani yeye ni mjinga nae ana rafiki zake, mkuu kuna watu ni un touchable na mmoja wao ni bashite,kuna uzi humu leo imewekwa video yeye mwenyewe anadai kawazidi wakuu wake kikazi mambo mengi sana so hawajamfikia
kwa kumalizia tu nikukumbushe kucheza na bashite ni kucheza na jeska, so kumshughulikia mpaka magu akipangiwa majukumu mengine na mwenyezi mungu ya kuongoza malaika huko fildausi
MAENDELEO HAYANA VYAMA, AIR HOSTAGE FANYENI KAZI ZENU KWA UMAKINI
Ingekuwa rahisi hivyo Kikwete angemuweka Membe. MiCCM ione hivi hivi lakini kuna muda huwa inajitambua.NI vigumu kumshughulikia bashite, akitoka magu madarakani atamuacha mtu wake ambaye mtu huyo anachaguliwa pia na bashite,sasa hapo unadhani anawezekana ? bashite kumlipia kisasi itachukua miaka sana,usidhani yeye ni mjinga nae ana rafiki zake, mkuu kuna watu ni un touchable na mmoja wao ni bashite,kuna uzi humu leo imewekwa video yeye mwenyewe anadai kawazidi wakuu wake kikazi mambo mengi sana so hawajamfikia
kwa kumalizia tu nikukumbushe kucheza na bashite ni kucheza na jeska, so kumshughulikia mpaka magu akipangiwa majukumu mengine na mwenyezi mungu ya kuongoza malaika huko fildausi
MAENDELEO HAYANA VYAMA, AIR HOSTAGE FANYENI KAZI ZENU KWA UMAKINI
Watu wanachukulia poa, kirahisi tu eti 2025 awe presidaaaIngekuwa rahisi hivyo Kikwete angemuweka Membe. MiCCM ione hivi hivi lakini kuna muda huwa inajitambua.
Omba cgeti cha mbowe,marks zipo hiyo hivyoMwenye cheti cha daudi bashite chenye F saba yaani zero ya 35 akiweke hapa kwa ajili ya rejea tafadhali
Mzigo huu hapa tafadhariMwenye cheti cha daudi bashite chenye F saba yaani zero ya 35 akiweke hapa kwa ajili ya rejea tafadhali
hahaakipo kuna uzi nimekiona ana FFFFFFF FEDERATION OF FOOTBALL FROM FAR FENT FORD OF AIR HOSTAGE
hahaha jamaniiikipo kuna uzi nimekiona ana FFFFFFF FEDERATION OF FOOTBALL FROM FAR FENT FORD OF AIR HOSTAGE
Tunamzungumzia mwizi wa jina na cheti hapaOmba cgeti cha mbowe,marks zipo hiyo hivyo
Njoo nikuajiri uwe unawatawaza kuku wangu kila wanapokata gogo..mshahara mnono